Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

idrisa abd

Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
7
Reaction score
4
Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali

Umri: 23
Elimu form 4, diploma

Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja.

0622998765
 
Kama inatoa ushauri wa kibiashara Kwa wengine Kwa nini wewe utafute kazi ya kuajiriwa tena Kwa ujira mdogo?
 
Kwanini....! Yaani Kwanini Ushauri Unaoutoaga kwa Wengine Usiufanyie Kazi Wewe Mwenyewe...!
 
Kaka uzaa simu pata mtaji mdogo anzaa nao mpaka utakapofikia lengo la biashara ya kwanzia million 1 kuwa msomi huruu kaka usitafute utumwa (kuajiriwa).
 
Kaka uzaa simu pata mtaji mdogo anzaa nao mpaka utakapofikia lengo la biashara ya kwanzia million 1 kuwa msomi huruu kaka usitafute utumwa (kuajiriwa).
Yes, JF ndo hii...!

Hata ukiwa We Mwenyewe ndio Motivational Speaker.... , tupo Walugaluga Tutakushauri tu..!

Huna mtaji, halafu unatumia simu smati?

Umeshauriwa iuze hiyo upate mtaji..!
 
Nenda CHAI YETU Mufindi wanahitaji wafanyakazi kibao wapigie simu yao interview ya mwisho tarehe 4/01/2024
 
Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali

Umri: 23
Elimu form 4, diploma

Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja.

0622998765
Sawa mm nko na 1m nifanye biashara gani hapa Dar?
 
Kaka uzaa simu pata mtaji mdogo anzaa nao mpaka utakapofikia lengo la biashara ya kwanzia million 1 kuwa msomi huruu kaka usitafute utumwa (kuajiriwa).
Uko sahihi Ila simu NI moja Kati ya opportunity kwangu nikiuza napoteza fursa zingine ambazo zitanipa mtaji mzuri
 
Back
Top Bottom