idrisa abd
Member
- Dec 27, 2023
- 7
- 4
Ni kweli na uko sahihi Ila changamoto mtaji kiongoz I have an idea but Due to lack of capital nothing i canKwanini....! Yaani Kwanini Ushauri Unaoutoaga kwa Wengine Usiufanyie Kazi Wewe Mwenyewe...!
Yes, JF ndo hii...!Kaka uzaa simu pata mtaji mdogo anzaa nao mpaka utakapofikia lengo la biashara ya kwanzia million 1 kuwa msomi huruu kaka usitafute utumwa (kuajiriwa).
Sawa mm nko na 1m nifanye biashara gani hapa Dar?Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali
Umri: 23
Elimu form 4, diploma
Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja.
0622998765
Invest kwang, mm muinjiristiSawa mm nko na 1m nifanye biashara gani hapa Dar?
0622998765 nichek nikupe ushauri Kama uko seriousInvest kwang, mm muinjiristi
Nichek 0622998765 Kama uko seriousSawa mm nko na 1m nifanye biashara gani hapa Dar?
Uko sahihi Ila simu NI moja Kati ya opportunity kwangu nikiuza napoteza fursa zingine ambazo zitanipa mtaji mzuriKaka uzaa simu pata mtaji mdogo anzaa nao mpaka utakapofikia lengo la biashara ya kwanzia million 1 kuwa msomi huruu kaka usitafute utumwa (kuajiriwa).
Kivipi yani?Invest kwang, mm muinjiristi