Natafuta kazi nipo Dar

Natafuta kazi nipo Dar

emanuelmaro

Member
Joined
Sep 7, 2023
Posts
5
Reaction score
1
Habari za majukumu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
 
Attachments

Cv ni nzuri sana, nimeipenda lakini sina msaada kwa sasa zangu dua zipi na wewe.
 
Mwandishi kataka tujiongeze kasema ame ambatanisha Cv ili hali haja weka ..
Jamaa ni new member na hiyo nipost yake no 1.

Inaweza kuwa ni kusahau ama kutokuwa na uzoefu wa mtandao huu.

Hivyo tusimlaumu, tumsaidie

Ahsante
 
Karibu sana Jamii Forum kaka.

Ningekushauri Uandike CV yako kwa KIFUPI.

HAPA Kuna watu MAKINI wengi sana wanaweza KUKUSAIDIA.

NB.
Ukisaidiwa jitahidi na wewe kuwa msaada kwa wengine.

Usisahau kusaidia HASA WATOTO yatima.
Mungu atakubariki zaidi na zaidi.
 
Habari za majukumu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
 
Attachments

Habari za majukumu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
Wachek hawa jamaa wanataka marketing officer 0623533676
 
Back
Top Bottom