Natafuta kazi, nipo Mpanda

Natafuta kazi, nipo Mpanda

Merr

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda.

Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili.

Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
 
Back
Top Bottom