Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

Arts blood

Member
Joined
Jan 31, 2024
Posts
15
Reaction score
27
Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB.

Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo nitashukuru.

Ninao uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa umakini,uadilifu na ubora mkubwa kadri ya maelekezo ya mkuu wangu wa kazi.

Natanguliza shukrani, kwa atakaekuwa na uhitaji wa kijana kama mimi akomenti nasoma comments ntamfata PM.

MUNGU AWABARIKI
 
Kama hakuna ulazima sana wa kufanya kazi ningekishauri umalizie chuo kwanza ukija kwenye ulimwengu wa kuzisaka unaingia mazima
 
Back
Top Bottom