Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Habari wana JF!

Natamani kufanya kazi kwenye private company au NGOs. Nina BSC. STATISTICS.

Nimezitafuta sizipati. I work under minimum supervision.
 
Karibu sana ndugu!! Tupoo wengi sana mtaani leo nimefurahi kuona naww umesoma kile ambacho mimi nimehitimu nacho huko nyuma...Tuendelee kupambana!

Karibu sana mtaaani...
 
Mara nyingi San nennda tanroad Kuna Kaz huwa wanatoa kila Muda ya kuhesabu magari yote kila mkoa na wilaya zake ,inalipa vzr sna kwa week laki 300,000
 
Mara nyingi San nennda tanroad Kuna Kaz huwa wanatoa kila Muda ya kuhesabu magari yote kila mkoa na wilaya zake ,inalipa vzr sna kwa week laki 300,000

Hongeraa ndugu!! Utusaidie na wengine tupate hizo nafasi ndugu yetu...
 
Back
Top Bottom