tunasongaMbele
Member
- Apr 1, 2021
- 57
- 51
Habari za asubuhi ndugu!
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.
Nipo tayari kujitolea sehemu yoyote ila ndani ya dar kwa kuwa itanirahisishia kutatua changamoto zangu za kawaida ila
kujitolea eneo nje ya dar nipo tayar ila gharama za maisha ndizo zitanikwamisha pia.
Kwenye field yangu naweza fanya basic networking naweza fanya (maintenance PC, printers, phones) software and hardware installations, network design (VLAN nafanya but in basic way) hapa kwa anaejua anaweza ona kuna vitu nmesema basic kwa kua nina mda kidogo sijafanya practice thus why nahtaji nafasi ya kujitolea pia ili niongeze ujuzi kazini.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote inayofundishika kwa muda mfupi ikitokea kazi ninazo weza kufanya
Hali yangu kwa sasa:
Kwa sasa sina kazi yoyote(jobless) na hii hali ndo inayoniumiza sana akili.
Naombeni msaada wenu kwa hali yoyote
#Asanteni
Contact: 0655 014 671

- Accounts
- Sales and Marketing
- Procurement and Logistics
- Storekeeper