Natafuta Kazi/ sehemu ya kujitolea

Mkuu ameomba kazi au sehemu ya kujitolea
hzo nafac za kujitolea ata miaka hii hazipatikan kirahisi ukienda unaambiwa tuna vijana weng sana na ofisi yetu n ndogo atleast education tena kwa vijijin ndio ukijtolea bado unapata nafac. Naongea through experience ila kila mtu ana bahat yake.
 
shukrani kwa ushauri mkuu
 
Hapa kwenye ukabila si hao tu , asilimia kubwa ya watz ni wakabila .
 
Tunaitwa Madrassatul Abraar.

Kipaumbele kwa sasa ni watu wa IT, wahasibu, wahasibu wasaidizi, watu wa logistics and supplies, site foreman wa ujenzi. Mafundi ujenzi wenye uzoefu na wasio na uzoefu lakini wenye Nia na wataopenda kujifundisha ujenzi Kwa vitendo. Wake kwa Waume.

Wasiliana nasi kwa WhatsApp 0625249605.

Tupo mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, wilaya ya Kibaha,mkoa wa pwani.

Stendi inaitwa Miyomboni Shule au Misugusugu Shule ya msingi.

Ukija unakuja na barua ya utambulisho wa Serikali ya mtaa.

Ukihitaji maelezo zaidi whatsapp 0625249605.
 
Shukrani Mkuu
 
Naomba kazi ya kujitolea fork lift operatal namba yangu 0679959235.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…