Natafuta kazi/ sehemu ya kujitolea

Natafuta kazi/ sehemu ya kujitolea

Waibi fredy

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
194
Reaction score
227
Habari za wapendwa.

Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu.

Nipo tayari kujitolea sehemu yoyote ila ndani ya dar kwa kuwa itanirahisishia kutatua changamoto zangu za kawaida ila
kujitolea eneo nje ya dar nipo tayar ila gharama za maisha ndizo zitanikwamisha pia.

Kwenye field yangu naweza fanya basic networking naweza fanya (maintenance PC, printers, phones) software and hardware installations, network design (VLAN nafanya but in basic way) hapa kwa anaejua anaweza ona kuna vitu nmesema basic kwa kua nina mda kidogo sijafanya practice thus why nahtaji nafasi ya kujitolea pia ili niongeze ujuzi kazini.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote inayofundishika kwa muda mfupi ikitokea kazi ninazo weza kufanya
  • Accounts
  • Sales and Marketing
  • Procurement and Logistics
  • Storekeeper
Nina uzoefu na office (Excel) naweza kuimudu pia kama nikipewa maelekezo, pia kazi yoyote ya mauzo(duka, supermarket) naweza fanya hali yangu kwa sasa:
Kwa sasa sina kazi yoyote(jobless) na hii hali ndo inayoniumiza sana akili.

Naombeni msaada wenu kwa hali yoyote

#Asanteni

Contact: 0715 160 365
 
Mtuajiri jamani, naungana na ombi lake maana me na diploma ya uhasibu nipo dar +2557874044
 
Ulishapata?
 
IMG_20230503_141010_410.jpg
 
Back
Top Bottom