Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujaanza kufikiri nje ya taaluma yako utahangaika sana.Ndugu Habarini,
Natumaini nyote ni wazima humu ndani.
Mimi ni kijana Mtanzania niliyekuwa nimeomba maombi ya ualimu Serikalini lakini kwa mipango ya Mungu nikakosa nafasi hiyo.
Hivyo naomba kwa yeyote ambaye anayeweza kunisaidia shule yoyote ya Private kwa ajili ya kufundisha nimtumie CV yangu.
Masomo ni Arts.
Ahsanteni.
Zingatia uzi huu[emoji115]Upo wapi?