Ndugu Habarini,
Natumaini nyote ni wazima humu ndani.
Mimi ni kijana Mtanzania niliyekuwa nimeomba maombi ya ualimu Serikalini lakini kwa mipango ya Mungu nikakosa nafasi hiyo.
Hivyo naomba kwa yeyote ambaye anayeweza kunisaidia shule yoyote ya Private kwa ajili ya kufundisha nimtumie CV yangu.
Masomo ni Arts.
Ahsanteni.