Tommy 911
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 600
- 510
Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.
Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Soma Pia: Irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
Update:

Nashukuru sana wadau ambao mliniombea, nimepata kazi nzuri tu ya taaluma yangu