Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Juzi nilikutana na kijana kamaliza chuo mwaka huu,akaniambia hataki kuajiriwa,kwa sababu hamma anayewezq kumlipa.baada ya dakika tano akaanza kulalamika kitaa ni kigumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachekesha nyie wajaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi nilikutana na kijana kamaliza chuo mwaka huu,akaniambia hataki kuajiriwa,kwa sababu hamma anayewezq kumlipa.baada ya dakika tano akaanza kulalamika kitaa ni kigumu
Nasema uongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
NAomba connection ya kufundisha Physics mkuu.Unaweza kufundisha nkupe connection kama upo dar..?
Umehitimu mwaka huu alafu unalialia.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Hujakosea kabisa, mbona wenge lote litamuisha [emoji3][emoji3]Nasema uongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda shule kubwa ya private kaombe kujitolea wakati unasubiri application zi tick!!piga mzigo wa ukweli ,Vaa smart,pendeza!wapende wanafunzi uwe nao karibu !miezi miwili au mitatu utapata ajira hapo hapo!!Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Mhitimu unaandika 'ata' badala ya 'hata' ?Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Akipendeza sana akapendwa na pisi ya mkurugenzi, atafukuzwa kazi na pesa hana kiongozi 😂.Nenda shule kubwa ya private kaombe kujitolea wakati unasubiri application zi tick!!piga mzigo wa ukweli ,Vaa smart,pendeza!wapende wanafunzi uwe nao karibu !miezi miwili au mitatu utapata ajira hapo hapo!!
Wakenya wanatupiga gap eneo hili!
Uko wap?NAomba connection ya kufundisha Physics mkuu.
Mpe moyo mkuuUmemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu medicine saiv nayo inaugumu wa kias hicho cha ajira.Mtaaalam, kunywa mtori nyama ziko chini, mimi nilisoma medicine, nkikwambia nnachofabya sasa hv utabaki mdomo wazi lakn i wouldnt trade this for anythng.
Weka aibu pembeni, hyo laki 3 ukiwa smart n mtaji tosha, in 5 yrs utakua mtu tofaut kabisa
Uko wap?nipe io connection mkuu
😀😀😀 Sasa ajajiajr alafu hatak kuajirwa.Juzi nilikutana na kijana kamaliza chuo mwaka huu,akaniambia hataki kuajiriwa,kwa sababu hamma anayewezq kumlipa.baada ya dakika tano akaanza kulalamika kitaa ni kigumu
Mkuu mbona mapema sana umekata tamaa?!Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Mpe connection..Uko wapi nikupe connection.....?