Nashukuru sana wadau ambao mliniombea, nimepata kazi nzuri tu ya taaluma yangu
nipe ideas za biashara KakaMtaaalam, kunywa mtori nyama ziko chini, mimi nilisoma medicine, nkikwambia nnachofabya sasa hv utabaki mdomo wazi lakn i wouldnt trade this for anythng.
Weka aibu pembeni, hyo laki 3 ukiwa smart n mtaji tosha, in 5 yrs utakua mtu tofaut kabisa
Wewe bado kabisa hujakaa mtaaniHabarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Bado hajasema ....[emoji23]Umemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ameshaanza kusema, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hajasema ....[emoji23]
Hata matokeo ya UE hayajatoka tayari ushachanganyikiwa na kitaa.Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo [emoji120]
AiseeTafuta sure odds 2 ukitia io 300000 inakuja 600k ... tafuta tena sure odds 2 tia 500k inakuja 1M
Umemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee muachee kimlambeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anacheza huyu [emoji23][emoji23]
Jikaze mtoto wa kiume, hakuna maisha rahisi broooh.dah[emoji26]
Unaweza kufundisha nkupe connection kama upo dar..?dah😥
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]