Natafuta kazi taaluma yangu ni Bachelor of Science in Chemistry Nipo Tayari Kufanya Kazi Ndani au Nje ya Taaluma Yangu

Umehitimu mwaka huu alafu unalialia.
Tulia kwanza uone life lilivo, wengine tushasahau kwamba kuna kuajiriwa.🀣🀣
 
Nenda shule kubwa ya private kaombe kujitolea wakati unasubiri application zi tick!!piga mzigo wa ukweli ,Vaa smart,pendeza!wapende wanafunzi uwe nao karibu !miezi miwili au mitatu utapata ajira hapo hapo!!

Wakenya wanatupiga gap eneo hili!
 
Mhitimu unaandika 'ata' badala ya 'hata' ?
 
Nenda shule kubwa ya private kaombe kujitolea wakati unasubiri application zi tick!!piga mzigo wa ukweli ,Vaa smart,pendeza!wapende wanafunzi uwe nao karibu !miezi miwili au mitatu utapata ajira hapo hapo!!

Wakenya wanatupiga gap eneo hili!
Akipendeza sana akapendwa na pisi ya mkurugenzi, atafukuzwa kazi na pesa hana kiongozi πŸ˜‚.
 
Mkuu mbona mapema sana umekata tamaa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…