Hiyo shule wanataka muslima Tena swala 5 π₯²nko both sides kwa maana baba mkristo mama muislam.
Hili ndio tatizo la hii nchi. Haya ndio watu ambao wanapaswa kupewa kazi ata kabla ya kumaliza masomo maana ndio wanaotakiwa katika kuleta maendeleo. Pole sana mwanawane.Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.
Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Soma Pia: Irect Sales Agent β 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
Inatakiwa hiyo laki 3 iishe kwanza ndo elimu ya mtaani ianze rasmi kuchukua nafasi,Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.
Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Soma Pia: Irect Sales Agent β 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
π πnko both sides kwa maana baba mkristo mama muislam.