Natafuta kazi taaluma yangu ni Bachelor of Science in Chemistry Nipo Tayari Kufanya Kazi Ndani au Nje ya Taaluma Yangu

Unajua mnamlaumu bure kijana
Elimu yetu ina andaa waajiwa na sio watu wa kujiajiri
Fikiria tangia darasa la kwanza unafundishwa kukariri tuuuu..... halafu leo unaambiwa ukafume vitambaa, sijui ukapike maandazi/chips, sijui ukarande mbao nk nk ni ngumu sana
 
Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.

Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏

Soma Pia: Irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
Hili ndio tatizo la hii nchi. Haya ndio watu ambao wanapaswa kupewa kazi ata kabla ya kumaliza masomo maana ndio wanaotakiwa katika kuleta maendeleo. Pole sana mwanawane.
Ngoja nikupe bodaboda moja uwe unapiga mishe town
 
Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.

Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏

Soma Pia: Irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024
Inatakiwa hiyo laki 3 iishe kwanza ndo elimu ya mtaani ianze rasmi kuchukua nafasi,
 
Back
Top Bottom