Natafuta kazi teacher wa chemistry and biology

Natafuta kazi teacher wa chemistry and biology

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Wadau kama kuna school yoyote hapa DSM nipeni mchongo nikapige kazi ya kufundisha chem na biology nina BSc with education....................​waweza kuni PM
 
Wadau kama kuna school yoyote hapa DSM nipeni mchongo nikapige kazi ya kufundisha chem na biology nina BSc with education....................​waweza kuni PM

Kwani uliambiwa ufundishe Dar tu! Hayo ndo matatizo yanayokupata!
 
Umesomea wap? GPA YAKO IKOJE!! Nijuze haraka.
 
arusha uko tayari kufanya kazi? If yes experience ikoje?
 
kaka nimechoka mikoani maana nilikuwa shinyanga tangu 07 nikiwa na diploma mpaka nikaenda kusoma
 
Hutakosa kazi, nchi hii haina walimu wa science
 
walimu wana kimbilia udoctor watoto we2 ambao uwezo ni mdogo tunapata shida sana. Shule haina mwalimu wa mathe, bios physics, chemstry 4 song now, walimu hawa wanakimbia fani wanaenda kuserch green pastures wizara za health kilimo na NGO OR private schools. Problem is Government consern
 
arusha uko tayari kufanya kazi? If yes experience ikoje?

mkuu kama akishindwa dili nipo hapa mtaalam wa chemirty na biology, kwa sasa nafundisha hapa moshi,nataka kuhamia arusha niPM pls kama dili bado lipo
 
EEKA Mangi.

Huna moyo wa faraja wala maendeleo- mwenzako anatafuta kazi yupo DSM wewe unamkatisha tamaa si bora UKAE KIMYA?

Ushaona wapi bwana mtu anatafuta kazi then anaanza oooooh lazima hivi! We sema niko tayari kufanya kazi popote kwa maslahi mazuri.
 
Back
Top Bottom