Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Habari Member wa Jf
Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango
( Metrology and Standardization)

Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing;

Pia nina uzoefu katika field zifuatazo
-Calibration of measuring instruments.
-Verification of measuring instruments.
-offshore tank Oil/gas Measurement.
-Oil and Gas Cargo survey.
-Prepackaged control and inspection.
-Quality assurance of pre packed products.

Pia nina ujuzi katika field nyingine kama;
-Digital marketing.
-MatLab & PLC skills.
-Graphic designing.

Mawasiliano yangu ni

+255 624 212 463
+255 758 554 463

Email : deomariwa504@gmail.com


Asanteni 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…