Natafuta kazi Wakuu

Natafuta kazi Wakuu

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
62
Reaction score
82
Habari zenu Wakuu.

Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.

Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona.

Naishi Dar es salaam, Ni fresh graduate, nina elimu ya Busines Information Technology (Business IT)

Ndugu zangu, ni kweli kuwa pamoja na kwamba unajua nini kiasi gani, ila unatakiwa pia ujiulize "Unamjua nani" ila sisi ni wale ambao tumefika mjini kwa kuletwa na shule, hamna ndugu wala wala nani ambaye unaweza ukasema nimkimbilie anipe sipport hapa mjini. Kwa kuwa mie ni mtoto wa kiume, nipo kupambana.

Nimejaribu kuperekea barua, CV na maombi kwenye makampuni mbali mbali naishiwa kuambiwa hamna nafasi, hamna kazi. Hapa nimeishiwa pozi wakuu wangu, nikiwaza nirudi kijijini naona tabu ni ile ile.

Kwenye fani yangu hiyo ya busines IT, nimetoka na skills kadha wa kadha zikiwezo;
Database management (mysql database, mariaDB).
Programming (java, JavaScript, php)
System Analysis.
System enterprise
(customer management software, sale management,).
Project +system management(risk, compliance, controls).
Advanced knowledge in LINUX.
Cyber security basics
(ethical hacking, penetration testing, network security)

Business management (Business Law)
Accounting basics +related softwares.
Business Intelligence (Tableaue)

Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote ile nje ya kada yangu. Kama vile kubeba mizigo, kazi mbali mbali za viwandani.
I haven't limited myself to my curriculum career.
Mawasiliano: 0616604372.

Mbarikiwe🙏
 
Da! Pole sana mkuu, kitaa ni kigumu kweli
 
Back
Top Bottom