natafuta kazi waungwana

Unkwn

Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
36
Reaction score
3
mimi ni kijana nliyemaliza certificate in law mwaka 2010 lakn bdo sijabahatika kupata kazi,nipo tayari kufanya kazi popote..ninawaomba wenye mawazo wanishauri hata
pia wenye kuweza kunisaidia nikapata ajira ninaomba wanisaidie. Ninashukuru sana waungwana
 

Pole,fanya kama alivyokushauri Asterik au kama una muda na uwezo,jiongeze kwa kupata Diploma.Kazi nyingi walau zinaanza na Diploma.Ila kwa hiyo certificate yako dont give up endelea kutafuta huwezi jua unaweza fanikiwa.Cha muhimu usikate tamaa,kama unaweza peleka application ofisi moja baada ya nyingine unaweza fanikiwa.Andika barua ya kuulizia kazikatika field ambayo unataka kufanyia kazi ambatanisha na vyeti vyako.Who knows,inawezekana milango ikafunguka.Pia unatakiwa kujua kipindi tulichonacho kazi ni ngumu na kujuanalism kwingi ila keep on ,never give up.
 
Kazi unaweza kupata ila Mara nyingi haiendani na ulichokisoma.Kupiga daladala debe unaweza wewe.Kama uko poa sema
 
Kazi unaweza kupata ila Mara nyingi haiendani na ulichokisoma.Kupiga daladala debe unaweza wewe.Kama uko poa sema
Pole xna mkuu,endelea kutafuta kwan leo c jana, but kwa upeo wangu ningekushauri uende shule coz kupata kaz ukiwa na certificate in law ni ngumu sana kaika field ya law, at least diploma na degree. So kama una uwezo nenda kaongeze elimu kwanza.
 
Dogo hata tusikutie moyo kama unauwezo wa kurudi kusoma fanya hivo kabla hujapoteza muda zaidi.kwa level hiyo ya elimu yako na field hiyo uliyosoma itakuchukua muda kupata kazi na hata ukipata haitakua kazi nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…