Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni kijana nliyemaliza certificate in law mwaka 2010 lakn bdo sijabahatika kupata kazi,nipo tayari kufanya kazi popote..ninawaomba wenye mawazo wanishauri hata
pia wenye kuweza kunisaidia nikapata ajira ninaomba wanisaidie. Ninashukuru sana waungwana
Pole xna mkuu,endelea kutafuta kwan leo c jana, but kwa upeo wangu ningekushauri uende shule coz kupata kaz ukiwa na certificate in law ni ngumu sana kaika field ya law, at least diploma na degree. So kama una uwezo nenda kaongeze elimu kwanza.Kazi unaweza kupata ila Mara nyingi haiendani na ulichokisoma.Kupiga daladala debe unaweza wewe.Kama uko poa sema
iq ya ujinga uliyonayo kubwa eehKazi unaweza kupata ila Mara nyingi haiendani na ulichokisoma.Kupiga daladala debe unaweza wewe.Kama uko poa sema