Kazi hizo umezifanya kwa miaka mingapi?Kufua, kupika na kufagia uwanja
Swali ni kwamba umefanya kwa miaka mingapi?Sijawahi kuajiliwa kwa kuzifanya zaidi ni za home, sina ujuzi wowote yani
1. Kiwango cha chini cha mshahara unachoweza kukubali kukipokea?Mingi tu si za home lazima nifanye
1. Elimu uliyonayo isiyo ya kuajiriwa ofisini ni ipi?... maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini,
...
Zege utaniua asee nina matatizo siwezi beba vitu vizitoMkuu mbona unataka kufanya kazi nyepesi hivyo? Inamaana kazi ulizoainisha hapo ndizo hizo hizo unazoweza kufanya pekee? Mzee inamaana hata zege lilikushinda?
Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Ooh... Kwenye uzi wako hukusema kama una matatizo.Zege utaniua asee nina matatizo siwezi beba vitu vizito