Natafuta kazi ya civil technician

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada wenu afadhali.
 
Dogo Muumbaji akusaidie. Jaribu kwenye miradi inayoendelea japo foreman
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…