Natafuta kazi ya clinical officer

Natafuta kazi ya clinical officer

Emmy mick

New Member
Joined
May 29, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Nina umri wa miaka 30, nimehitimu course ya tabibu msaidizi /Assistant Clinical Officer (C/A) Nipo Mwanza, lakini hata mikoa mingine nafikia nina uzoefu kazini zaidi ya miaka miwili (2) natanguliza shukrani zangu
Namba zangu ni 0743 401 732
 
Back
Top Bottom