Natafuta kazi ya Clinical officer

Natafuta kazi ya Clinical officer

azithromycim

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
288
Reaction score
714
Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote.

Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
 
Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021
kwasasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya
Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote
Kwamawasiliano na kupata CV yangu
kclafya@gmail.com
Hawa ndo graduate wetu. Kama ni wa mifugo sawa . Ila kwa uandishi wako hutakiwi kutibu hata kuku. Udactari ndo kitu gani?
 
Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021
kwasasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya
Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote
Kwamawasiliano na kupata CV yangu
kclafya@gmail.com
 
Watumie cv zako au wapelekee TMHS ,,wanatoa sana kazi kwa clinical officers
 
Back
Top Bottom