Ahsante,Nimepokea nitaifanyia kazi hiloMkuu pambana, nami ni graphics designer nilianza kama wewe humu humu. Uzi wangu uko humu humu.
Pambana, ushauri wangu kwa sababu graphics inaanza kuwa common unaweza jitofautisha kwa kufocus zaidi na 3D blender, iwe advantage kubwa kwako.