Natafuta kazi ya house maid

Natafuta kazi ya house maid

Laura Lauren

New Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
3
Reaction score
3
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo mengine karibuni pm
 
Kila la kheri dada, hujajieleza vizuri ! Nusu siku ama jumla jumla kulala ? Offa ya mshahara n.k ! Muda wa kazi , off days na mengineyo
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo mengine karibuni pm
Umeshapata?
 
ANAHITAJIKA DADA WA KAZI YA NDANI KWA HARAKA
[emoji257]familia baba , mama na watoto 2 wakubwa wote wanaenda shule
[emoji257]Awe mchapakazi na mwenye hofu ya Mungu
[emoji257]kipaumbele ni aliyefika elimu ya kidato cha nne na awe na uzoefu na kazi za ndani usiopungua mwaka mmoja
[emoji257]awe mkristo
[emoji419]kuishi kwa bosi
[emoji419]Kupata kazi ni Bure
Tuma meseji *0696090101*sms kawaida

/0683893209 WhatsApp

Mshahara 100,000/=
[emoji419]Eneo la kazi ni Dar es Salaam-
[emoji3578] mwisho wa maombi 28/10/2024
 
Miaka 28 kabisa?? hakuna mwanamke aliye kwenye ndoa atakubali labda kwenye familia za single parent
 
Mi ni bachela naishi peke yangu unaweza kuja kufanya kazi kwangu?
 
Miaka 28 kabisa?? hakuna mwanamke aliye kwenye ndoa atakubali labda kwenye familia za single parent
Acha uoga,unataka awe wa 2000s?
Huoni wa 2000s ni hatari kwa ndoa kama wasiwasi wako ni kuhusu bhai wa ndoa?
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo mengine karibuni pm
Mimi nina mambo ya kitoto sana😆

Je utanipenda na kunipikia vyakula mbalimbali na kunilea?😆😆

Nakuombea upate kazi mwayego. Ukishapata uje kututaarifu hapa
 
ANAHITAJIKA DADA WA KAZI YA NDANI KWA HARAKA
[emoji257]familia baba , mama na watoto 2 wakubwa wote wanaenda shule
[emoji257]Awe mchapakazi na mwenye hofu ya Mungu
[emoji257]kipaumbele ni aliyefika elimu ya kidato cha nne na awe na uzoefu na kazi za ndani usiopungua mwaka mmoja
[emoji257]awe mkristo
[emoji419]kuishi kwa bosi
[emoji419]Kupata kazi ni Bure
Tuma meseji *0696090101*sms kawaida

/0683893209 WhatsApp

Mshahara 100,000/=
[emoji419]Eneo la kazi ni Dar es Salaam-
[emoji3578] mwisho wa maombi 28/10/2024
Ebana eeh
 
Acha uoga,unataka awe wa 2000s?
Huoni wa 2000s ni hatari kwa ndoa kama wasiwasi wako ni kuhusu bhai wa ndoa?
sio uoga ni uhalisia, na uzoefu, wanapenda wenye umri mdogo ambaye anaweza kumkontrol,
 
Back
Top Bottom