Laura Lauren
New Member
- Oct 27, 2024
- 3
- 3
Umeshapata?Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo mengine karibuni pm
Acha uoga,unataka awe wa 2000s?Miaka 28 kabisa?? hakuna mwanamke aliye kwenye ndoa atakubali labda kwenye familia za single parent
Mimi nina mambo ya kitoto sana😆Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo mengine karibuni pm
Ebana eehANAHITAJIKA DADA WA KAZI YA NDANI KWA HARAKA
[emoji257]familia baba , mama na watoto 2 wakubwa wote wanaenda shule
[emoji257]Awe mchapakazi na mwenye hofu ya Mungu
[emoji257]kipaumbele ni aliyefika elimu ya kidato cha nne na awe na uzoefu na kazi za ndani usiopungua mwaka mmoja
[emoji257]awe mkristo
[emoji419]kuishi kwa bosi
[emoji419]Kupata kazi ni Bure
Tuma meseji *0696090101*sms kawaida
/0683893209 WhatsApp
Mshahara 100,000/=
[emoji419]Eneo la kazi ni Dar es Salaam-
[emoji3578] mwisho wa maombi 28/10/2024
sio uoga ni uhalisia, na uzoefu, wanapenda wenye umri mdogo ambaye anaweza kumkontrol,Acha uoga,unataka awe wa 2000s?
Huoni wa 2000s ni hatari kwa ndoa kama wasiwasi wako ni kuhusu bhai wa ndoa?