OfficilaNdurotz Member Joined Sep 13, 2019 Posts 17 Reaction score 17 Jun 4, 2024 #1 Habari, natafuta kazi nimesoma IT, Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
Mr passion JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 202 Reaction score 282 Jun 5, 2024 #2 kazi njema
Rayns JF-Expert Member Joined Jul 29, 2023 Posts 3,620 Reaction score 7,818 Jul 16, 2024 #3 Njooni mchangie mada kama hizi...
Rayns JF-Expert Member Joined Jul 29, 2023 Posts 3,620 Reaction score 7,818 Jul 16, 2024 #4 Elimu yako ni ya ngazi gan na unaweza kufanya vitu gani? Au umebase Kwenye vitu gani katika IT?
OfficilaNdurotz Member Joined Sep 13, 2019 Posts 17 Reaction score 17 Jul 19, 2024 Thread starter #5 Rayns said: Elimu yako ni ya ngazi gan na unaweza kufanya vitu gani? Au umebase Kwenye vitu gani katika IT? Click to expand... Bachelor of computer engineering
Rayns said: Elimu yako ni ya ngazi gan na unaweza kufanya vitu gani? Au umebase Kwenye vitu gani katika IT? Click to expand... Bachelor of computer engineering
Typical JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 682 Reaction score 632 Jul 21, 2024 #6 Samwelnduro said: Bachelor of computer engineering Click to expand... Siku hizi watu wanatajaga professional certificate au diploma tu. Ili kuepuka kuogopwa na waajiri. Vingine anasubmit akiwa ajirani.
Samwelnduro said: Bachelor of computer engineering Click to expand... Siku hizi watu wanatajaga professional certificate au diploma tu. Ili kuepuka kuogopwa na waajiri. Vingine anasubmit akiwa ajirani.