Natafuta kazi ya IT

Natafuta kazi ya IT

Dishunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
276
Reaction score
58
wakuu habari zen natafuta kazi yeyote inayohusiana na IT department.elimu yang ni ya certificate but nina ujuzi binafsi.msaada wenu tafadhali mi nipo dar
 
Husijari Ndugu!
Mungu Anakusaidia Kazi Utapata!!
Ngoja Tusubiri Wahusika!
 
Una uzoefu wa miaka mingapi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuhusu ujuzi nishafanya pc maintanance kama miaka miwili kabla sijaingia college.but sahv nafanya field pale veta chang'ombe dsm
 
Back
Top Bottom