Natafuta kazi ya jikoni - kuuza chipsi, kuku, supu n.k

Natafuta kazi ya jikoni - kuuza chipsi, kuku, supu n.k

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Habari ya uzima.

Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa.

Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro, chipsi, kuku wa kukaanga, chakula na huduma zote za chakula.

Nina uzoefu wa hii kazi, nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba, Mbezi na Banana Gongo la Mboto.

Nina kauli nzuri sana kwa wateja (Good customer care)

Nipo humble, smart na mwaminifu sana.

Hivyo MTU yeyote mwenye uhitaji wa kuwekeza katika hii biashara anakaribishwa na MTU yeyote anayehitaji kijana mchapa Kazi anakaribishwa Sana.

Waweza nipata kwa namba hii

0746766898
 
Mtaji wa Kufungua Ofisi niachie, nataka tu wewe upendekeze wapi unahisi tukitega tutapga pesa.

Au kama kwenye kuzunguka kwako utakutana na JIKO linakodishwa halina mtu

Usisite niambia, Pita Pita zako hutokosa Bar yenye jiko ila haina mtu jikoni.

Bonafsi bar ninazozijua zisizo na watu jikoni hazina wateja ninaotamani wakuweza nipa kiasi cha pesa ninachokitaka kwa siku.

TUSAIDIANE TAFUTA KWA PAMOJA.
 
Naona watu wengi wamekurupuka kumwambia kumpa jiko aendeshe ila jamaa hakuweka wazi kama ana uzoefu na ujuzi wa kutengeneza. Yeye kasema kuuza !!

Mkuu, Mimi natengeneza na kuuza pia hizi kazi zinahitaji good management (usimamizi mzuri) hivyo huwa nashiriki kutengeneza na huwa nahakikisha nasimamia mauzo vizuri ili biashara isiyumbe.

Maana changamoto ya biashara nyingi za chakula ni katika kuandaa na kusimamia ili faida ipate kuonekana.

Karibu mkuu ikiwa unalo jiko wala hautajuta na faida utaiona.
 
Swali Zuri.

Uzoefu wake ni Kwnye Kuuza tu au Kutengeneza kuanzia mbichi mpka inaenda kwa mteja.

Uzoefu wangu mkubwa upo katika kuandaa (mapishi) na kuuza na kusimamia mauzo .

Nina uwezo wa kuiendesha biashara vizuri na FAIDA ikaonekana kwa wakati sahihi.
 
Habari ya uzima.

Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa.

Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro , chipsi, kuku wa kukaanga , chakula na huduma zote za chakula.

Nina uzoefu wa hii kazi , nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba , mbezi na Banana Gongo la mboto.

Nina kauli nzuri Sana kwa wateja
(Good customer care)

Nipo humble , samart na mwaminifu Sana .

Hivyo MTU yeyote mwenye uhitaji wa kuwekeza katika hii biashara anakaribishwa na MTU yeyote anayehitaji kijana mchapa Kazi anakaribishwa Sana.

Waweza nipata kwa namba hii

0746766898
Hivi we JOHN MAXWELL bado tu unajihusisha na kazi za jikoni, wenzako wanakuogopa kwa kula order za watu ndiyo maana hawakupi kazi.
 
Hivi we JOHN MAXWELL bado tu unajihusisha na kazi za jikoni, wenzako wanakuogopa kwa kula order za watu ndiyo maana hawakupi kazi.

aaaa mkuu , kazi lazima ifate misingi ya uaminifu sasa hizo order nimekula wapi mkuu?

Hii kazi nimeanza mbezi palipovunjwa kwa ajili ya barabara nikaamia kibamba na baada ya kutoka kibamba nilienda shule kuongeza maarifa.

Karibu mkuu
 
Mtaji wa Kufungua Ofisi niachie, nataka tu wewe upendekeze wapi unahisi tukitega tutapga pesa.

Au kama kwenye kuzunguka kwako utakutana na JIKO linakodishwa halina mtu

Usisite niambia, Pita Pita zako hutokosa Bar yenye jiko ila haina mtu jikoni.

Bonafsi bar ninazozijua zisizo na watu jikoni hazina wateja ninaotamani wakuweza nipa kiasi cha pesa ninachokitaka kwa siku.

TUSAIDIANE TAFUTA KWA PAMOJA.

Mkuu naomba tuwasiliane kwa simu then niingie field kuanzia kesho .

Naimani tutafanikiwa kupata eneo zuri

0746766898
 
aaaa mkuu , kazi lazima ifate misingi ya uaminifu sasa hizo order nimekula wapi mkuu?

Hii kazi nimeanza mbezi palipovunjwa kwa ajili ya barabara nikaamia kibamba na baada ya kutoka kibamba nilienda shule kuongeza maarifa.

Karibu mkuu
Ahsante JOHN MAXWELL kwa majibu yako mazuri, nilikuwa nakutania tu na ukaonyesha ukomavu wa akili kwa kutambua hilo. Mungu akubariki upate kazi mkuu🙏🏾
 
Back
Top Bottom