Habari ya uzima.
Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa.
Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro , chipsi, kuku wa kukaanga , chakula na huduma zote za chakula.
Nina uzoefu wa hii kazi , nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba , mbezi na Banana Gongo la mboto.
Nina kauli nzuri Sana kwa wateja
(Good customer care)
Nipo humble , smart na mwaminifu Sana .
Hivyo MTU yeyote mwenye uhitaji wa kuwekeza katika hii biashara anakaribishwa na MTU yeyote anayehitaji kijana mchapa Kazi anakaribishwa Sana.
Waweza nipata kwa namba hii
0746766898