Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Swali Zuri.Mkuu unatafuta kazi ya kuuza supu na kuzitengeneza au atengeneze mwingine we kuuza tu?
Naona watu wengi wamekurupuka kumwambia kumpa jiko aendeshe ila jamaa hakuweka wazi kama ana uzoefu na ujuzi wa kutengeneza. Yeye kasema kuuza !!Swali Zuri.
Uzoefu wake ni Kwnye Kuuza tu au Kutengeneza kuanzia mbichi mpka inaenda kwa mteja.
Mtaji kwa sasa sina mkuu nashukuru Sana.Mimi kuna sehemu kuna Bar ipo mbezi kuna Jiko lakini halina mtu. kama una mtaji nikuunganishe hapo uende ukapige hela.
Unaweza kuuza Chips, Kongoro, Kuchoma nyama lakini pia lipo lingine hapo hapo la Kitimoto
Naona watu wengi wamekurupuka kumwambia kumpa jiko aendeshe ila jamaa hakuweka wazi kama ana uzoefu na ujuzi wa kutengeneza. Yeye kasema kuuza !!
Swali Zuri.
Uzoefu wake ni Kwnye Kuuza tu au Kutengeneza kuanzia mbichi mpka inaenda kwa mteja.
OK mkuu vizuriUna ujuzi mkuu utakusaidia, Hongera sana, sema upo mbali ningekuja tukaa jikoni wote ukanifundisha maana. Hali sio Hali Mimi ni WA mzobemzobe
Hivi we JOHN MAXWELL bado tu unajihusisha na kazi za jikoni, wenzako wanakuogopa kwa kula order za watu ndiyo maana hawakupi kazi.Habari ya uzima.
Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa.
Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro , chipsi, kuku wa kukaanga , chakula na huduma zote za chakula.
Nina uzoefu wa hii kazi , nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba , mbezi na Banana Gongo la mboto.
Nina kauli nzuri Sana kwa wateja
(Good customer care)
Nipo humble , samart na mwaminifu Sana .
Hivyo MTU yeyote mwenye uhitaji wa kuwekeza katika hii biashara anakaribishwa na MTU yeyote anayehitaji kijana mchapa Kazi anakaribishwa Sana.
Waweza nipata kwa namba hii
0746766898
Hivi we JOHN MAXWELL bado tu unajihusisha na kazi za jikoni, wenzako wanakuogopa kwa kula order za watu ndiyo maana hawakupi kazi.
Mtaji wa Kufungua Ofisi niachie, nataka tu wewe upendekeze wapi unahisi tukitega tutapga pesa.
Au kama kwenye kuzunguka kwako utakutana na JIKO linakodishwa halina mtu
Usisite niambia, Pita Pita zako hutokosa Bar yenye jiko ila haina mtu jikoni.
Bonafsi bar ninazozijua zisizo na watu jikoni hazina wateja ninaotamani wakuweza nipa kiasi cha pesa ninachokitaka kwa siku.
TUSAIDIANE TAFUTA KWA PAMOJA.
Ahsante JOHN MAXWELL kwa majibu yako mazuri, nilikuwa nakutania tu na ukaonyesha ukomavu wa akili kwa kutambua hilo. Mungu akubariki upate kazi mkuu🙏🏾aaaa mkuu , kazi lazima ifate misingi ya uaminifu sasa hizo order nimekula wapi mkuu?
Hii kazi nimeanza mbezi palipovunjwa kwa ajili ya barabara nikaamia kibamba na baada ya kutoka kibamba nilienda shule kuongeza maarifa.
Karibu mkuu
Mkuu kodi bei gani hapo?Mimi kuna sehemu kuna Bar ipo mbezi kuna Jiko lakini halina mtu. kama una mtaji nikuunganishe hapo uende ukapige hela.
Unaweza kuuza Chips, Kongoro, Kuchoma nyama lakini pia lipo lingine hapo hapo la Kitimoto
Mkuu The bump waweza wasiliana na DALALI MKUU tukapata jiko!?Mimi kuna sehemu kuna Bar ipo mbezi kuna Jiko lakini halina mtu. kama una mtaji nikuunganishe hapo uende ukapige hela.
Unaweza kuuza Chips, Kongoro, Kuchoma nyama lakini pia lipo lingine hapo hapo la Kitimoto