Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

pastory97

Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
17
Reaction score
12
Naitwa Pastory Augustino
Nipo morogoro
Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee,
Level yangu ni diploma
 
I wish nipate mtu ambaye atakuwa tayari for sacrifice,bila ya kuwa na option B,ama atakaye burn all bridges,atakaye kuwa na mentality ya go-all-in it to win it or take no prisoner war.
Tutaanzishe kama twisheni senta later iwe qt senta finally iwe shule.
Sio Mara mtu anakuwa na mentality ya Ajira,Mara Kama atafeli kwenye maisha.
Ajitoe kwa moyo wake wote,tufanye kitu hata tukizeeka tukiwa sio matajiri Ila tulipigania ndoto zetu.maisha ni kuyaishi ndoto zako na sio kuwa ni pesa,unaweza ukawa unapata pesa Ila hauna furaha or you don't pursue your dream or your early childhood dream
 
Ni kweli ndugu yangu upo sahihi sana, hata namim kutafuta ni kutafuta pakuanzia ili mbeleni mambo yakae sawa, Plan yako umesha pata watu wangapi embu ni PM tuyajenge
 
Inatakiwa muwe wachache Sana yaani Kama wawili afu mfanane ndoto na sio kuwa muwe wengi kila mtu awe na akili yake ni ngumu Sana kukuza Jambo.
People sacrifice to build empire then others admire to be like them within a week or an overnight success
 
Back
Top Bottom