Natafuta kazi ya kufundisha, nina shahada ya Ualimu

Natafuta kazi ya kufundisha, nina shahada ya Ualimu

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Mimi ni muhitimu wa shahada ya BED PSYCHOLOGY nimekaa tuu nyumban sijapata kazi ya part time hivyo basii kwa mkuu yoyote wa shule au chuo chochote cha Ualimu hata education centre iliyoko hapa Dar au Kibaha napenda niwambie niko tayar kuja kufundiaha kwenye taasisi yako kwa kujitolea buree ila utakachonisaidia wewe ni nauli ya to and from na kula mchana.

Basi nimeamua hivyoo baada ya kuona ujuzi wangu unapotea bila ya kufanyiwa kazii hasa pedagogy ya kufundisha nikipata chuo cha ualimu ni vzr zaidi kwakua ndo specialization yangu ila hata sekondari nafundisha History kwa mkuu yeyote anayeitaji ani PM tupeane mawasiliano ili niweze kuanza haraka maana nimechoka pia kukaa nyumban

Asante
 
kupata chuo sio rahisi kana unavyofikir watu wa BED ni wengi mno wengine wamebahatisha kupangiwa secondary wengine wamekosa. uligraduate mwaka gani?
 
kupata chuo sio rahisi kana unavyofikir watu wa BED ni wengi mno wengine wamebahatisha kupangiwa secondary wengine wamekosa. uligraduate mwaka gani?

nimegraduate mwaka huu kiongozi naomba nieleweke sitafuti ajira ya chuo hata sekondary tafadhari kwahiyo hata nikikosa chuo siyo taabu sana au nikipata maana nachotaka kukifanya ni kufundisha kwa ili kuweza kudumisha maarifa yangu tu maana naona hakuna faida ya kukaa tu nyumbani wakati mimi ni mtu wa kutoa msaada kwa jamiii hasa maswala ya saikolojia na elimu
 
sikuhizi kaka mambo ya kujitolewa hayapo hayo maisha ni kutafuta sasa wewe unajirahisi hivyo maana yake nini?

nakuomba hata kama unajitolea lzm uwe na dau angalau sasa unatuaibisha wenzio wa Bed Psychology,
 
nimegraduate mwaka huu kiongozi naomba nieleweke sitafuti ajira tafadhari
hutafuti ajira kumbe unatafuta nini sasa? ajira ni kwa namna yoyote ile yaweza kuwa kujiajiri/kuajiriwa/kujitolea swala ni kufanya/kutoa huduma yako kwa wahitaji wa hiyo service
 
sikuhizi kaka mambo ya kujitolewa hayapo hayo maisha ni kutafuta sasa wewe unajirahisi hivyo maana yake nini?
nakuomba hata kama unajitolea lzm uwe na dau angalau sasa unatuaibisha wenzio wa Bed Psychology,

hapana sijawaaibisha hiyo ni self concept kaka swala ni kwamba nataka sehemu ya kunikeep bize basiii na si kwamba lazima saana tuangalie dau kaka naomba nieleweke hapo nimesema nimejitolea buree kama ningekua nataka kulipwa ningejinadi pia mkuu somo sana bed psychology ni course nzuriii sana
 
hutafuti ajira kumbe unatafuta nini sasa? ajira ni kwa namna yoyote ile yaweza kuwa kujiajiri/kuajiriwa/kujitolea swala ni kufanya/kutoa huduma yako kwa wahitaji wa hiyo service

Madenge au ni uelewa wangu mdogo ebu tafuta tafasiri ya neno ajira kiongozi harafu utanielewa ninachokuambia!ajira bila kujal umeajiriwa au hujaajiriwa madam inaitwa ajira manake lazima iwe na ujira(encome)sasa jeee hapo matafuta ajira(encome)ukisoma nilivyoeleza hapo juu??ningekua natafuta ajira ningekua specific kwa nini niogope aisee so try to rethink man mimi nataka kujitolea ndio maana nikaandika pale buree nadhan umenielewa kaka
 
Tafuta shule za private watakuchukua, kama cheti chako ni kizuri na kichwani safi hakuna haja yakujirahisisha kiasi hicho, kupata hiyo elimu umesota sana..sasa usikubali kujirahisisha kana kwamba umepewa tu cheti,
 
hahahahaa hakuna taabu mwanasosolojia hahahaha matokeo yangu ni mazuriii sana tena sana tuu yotee level zotee mkuu.umenichekesha sana yani mnaona kama nimejirahisi sana hahaha hapana nimeamua kujitolea tuu mkuu na sivinginevyo maana naona wakuu wenyewe hata ukisema unatafuta kazi wanakuambia pesa hawana sasa ngoja nijikeep bizee kwa kujitolea tu
 
Vp kuhusu nyanja za program iyo (coz zake kwa ujumla) na mi nmechaguliwa ktk hyo program
 
Vp kuhusu nyanja za program iyo (coz zake kwa ujumla) na mi nmechaguliwa ktk hyo program

yaani ina course nzuriii sana man yani utaenjoy kwasababu utaweza kuishi sehemu yoyote na watu wa aina yoyote na kuwafahamu haraka kama utaielewa vizurii man hasa hasa social psychology ile ndo psychology hasaaaaa aisee
 
nimegraduate mwaka huu kiongozi naomba nieleweke sitafuti ajira tafadhari kwahiyo hata nikikosa chuo siyo taabu sana au nikipata maana nachotaka kukifanya ni kufundisha kwa ili kuweza kudumisha maarifa yangu tu maana naona hakuna faida ya kukaa tu nyumbani wakati mimi ni mtu wa kutoa msaada kwa jamiii hasa maswala ya saikolojia na elimu

mkuu kwa psychologia yangu ndogo nisha kujua kuwa ni mtu ambaye una over confidence na Much Konwledgable others "M.K.O sana ukidhani wewe ni mjuaji zaid. kazi hazitafutwi kwa majibu kama hayo mkuu Tumbu kwani yawezekana anayekuuliza hivyo ni muhitaji wa huduma yako au anaweza kuunganisha na network unayoitaka lakini unamjibu nyodo , hivi wewe unadhani utapata kweli unacho kitaka? tafakari chukua hatua mapema .
 
Last edited by a moderator:

hahahahaa ni vile tu hatujuani kaka mimi sidhani kama nimejibu nyodo mkuu au neno(tafadhari)ni nyodo??kama ni nyodo basii ni samehe but that is attribution bias sina maana ya kwamba nimemjibu vibaya nadhan ameuliza nikamjibu alivyouliza mkuu sasa kusema sitafuti ajira ndio nyodo mkuu??basi samahani but sina nyodo kiukweli na siko hivyo miaka yote
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa unahitaji kutoa huduma yako kwa huku bara ingekaa poa kwani kuna vyuo vya ualimu vya binafsi (private) kibao havina wataalam! Kuna vyuo mkoani simiyu vinaitwa Ng'wanza teacher's college na Bariadi teacher's college vinahitaji wataalam
 
oooh sawa hakuna shida naomba tuwasiliane tu nadhani tunaweza kuwekana sawa tukafikia muafaka vzr hata kama ni bara chamsingi ni maelewano sifurahishwi na kukaa nyumbanu tu kiukwelii kwahiyo nadhani kama hata ni SHINYANGA sawa ingawa ningepata hapa costal area ambayo nakua nalala nyumbani ingekua vzr
 
Kila la kheri liwe juu yako,,! i hope kazi utapata
 
Kila la kheri liwe juu yako,,! i hope kazi utapata

asante sana mkuu nakaa tu home wakati mm ni mwalimu na mshauri bana wakati jamii inaitaji msaada wanguu hahaaha naomba wahusika wanitafute tuelimishe jamii na tuandae walimu na wasomi wa badae
 
hapana sijawaaibisha hiyo ni self concept kaka swala ni kwamba nataka sehemu ya kunikeep bize basiii na si kwamba lazima saana tuangalie dau kaka naomba nieleweke hapo nimesema nimejitolea buree kama ningekua nataka kulipwa ningejinadi pia mkuu somo sana bed psychology ni course nzuriii sana

mmhh aisee...napata tabu kuamini wewe ni graduate wa chuo kikuu...mbona uandishi wako na organization ya mawazo yako iko hovyo hivyo...nyie ndo mnaofanya fani ya ualimu ionekane ni kwa ajili ya watu waliofeli au wenye matatizo ya namna flani
 
yaani ina course nzuriii sana man yani utaenjoy kwasababu utaweza kuishi sehemu yoyote na watu wa aina yoyote na kuwafahamu haraka kama utaielewa vizurii man hasa hasa social psychology ile ndo psychology hasaaaaa aisee
Hujajibu swali...unaruka ruka tu...wasomi wa siku hizi bwana khaaaa.......
 
yaani ina course nzuriii sana man yani utaenjoy kwasababu utaweza kuishi sehemu yoyote na watu wa aina yoyote na kuwafahamu haraka kama utaielewa vizurii man hasa hasa social psychology ile ndo psychology hasaaaaa aisee

Acha swaga,kuisha na watu vizuri siyo mpaka uwe umesoma bed psvchology
 
Back
Top Bottom