Mimi ni muhitimu wa shahada ya BED PSYCHOLOGY nimekaa tuu nyumban sijapata kazi ya part time hivyo basii kwa mkuu yoyote wa shule au chuo chochote cha Ualimu hata education centre iliyoko hapa Dar au Kibaha napenda niwambie niko tayar kuja kufundiaha kwenye taasisi yako kwa kujitolea buree ila utakachonisaidia wewe ni nauli ya to and from na kula mchana.
Basi nimeamua hivyoo baada ya kuona ujuzi wangu unapotea bila ya kufanyiwa kazii hasa pedagogy ya kufundisha nikipata chuo cha ualimu ni vzr zaidi kwakua ndo specialization yangu ila hata sekondari nafundisha History kwa mkuu yeyote anayeitaji ani PM tupeane mawasiliano ili niweze kuanza haraka maana nimechoka pia kukaa nyumban
Asante