Natafuta kazi ya kufundisha, nina shahada ya Ualimu

sikuhizi kaka mambo ya kujitolewa hayapo hayo maisha ni kutafuta sasa wewe unajirahisi hivyo maana yake nini?
nakuomba hata kama unajitolea lzm uwe na dau angalau sasa unatuaibisha wenzio wa Bed Psychology,

Nazani kajieleza kila kitu wewe kusema anajiraisi sijui umelopoka tu? Kakwambia anataka kusaidia just give him only meals and tranaport.
 
kazi unayo na hivyo Huna masomo ya kufundishia
 
Last edited by a moderator:
kazi unayo na hivyo Huna masomo ya kufundishia

masomo ya kufundisha ukiwa na maana gani yani kwani education psychology foundation(misingi ya elimu).education media and technology(vielelezo),computer literece for teachers(ICT au TEHEMA).Teaching and learning na course zote za ualimu siyo masomo ??sema wanasiasa tu ndio wanaleta siasa kua hakuna teaching subject by the way form six nimesoma HGL so naweza kufundisha haya masomo vizuri kwasababu nimejifunza methodology ya kufundisha masomo yote na sidhani kama kuna kipya kinaongezeka kwenye haya masomo niliyosoma kwamba siwezi kuyafundisha ndio maana nikasema hapo awali hawa vyup vya ualimu ndiyo sehemu nakoweza kuwa na ufanisi zaidi maana by nature ya hii course mimi ni mkufunzi.
 
Last edited by a moderator:
Nilipata headmaster wa Lindi huko newala lakin hapana naomba mwenye Center au shule hapa mikoa Jirani ndiye tuwasiliane
 
Kaka ningekushauri maadamu umegraduate nina imani utafaulu.Ushauri angalia cheti chako cha six.Kama ulifaulu sayansi omba Bsc education mwaka kesho ili uwe more marketable!
 
Kaka ningekushauri maadamu umegraduate nina imani utafaulu.Ushauri angalia cheti chako cha six.Kama ulifaulu sayansi omba Bsc education mwaka kesho ili uwe more marketable!

ekaye mtama hahahahaa nasikilizia ajira mkuu sasa kwa mda huu ndo natafuta sehem ya kujishikiza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…