Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

'degree ya ualimu wa civil engineering'.

Kwa kingereza hio bachelor inaitwaje boss.
Bachelor of Technical education in civil engineering
Yaani msomi hivi kweli wakutafuta kazi...hii nchii ya ajabu sana
Kwamba kazi ndo zimtafte yeye? Unadhan anesoma peke yake? Na kwa kumsaidia tu veta wanahitaji watu wenyew diploma tu.
 
Back
Top Bottom