Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

GEM mama

Member
Joined
Jun 22, 2021
Posts
29
Reaction score
46
Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.

Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
 
Habari wakuu natafuta kazi ya yakufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.

Ahsante unaweza piga sifa na nyimbo za kuabudu kwa kiwango kizuri au unapiga mziki wa bongo tu na kwenye bar?
 
Habari wakuu natafuta kazi ya yakufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.

Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
Kama vipi tufungue studio ya gospel
 
Ungekuwa na vyeti ungeomba BASATA wametangaza nafasi
 
Back
Top Bottom