Habari wakuu natafuta kazi ya yakufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.
Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.