Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

The Inspire55

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
12
Reaction score
22
Habari wakuu,

Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA OFFICER)

Natafuta processing plant yoyote ndani ya kanda ya ziwa ambayo naweza fanya kazi kama tempo ili nipate experience ya kazi,

Natanguliza shukurani nyingi kwenu namba yangu ni 0753021057, email: pouljuma55@gmail.com
 
Back
Top Bottom