nicnic ,mimi nina mtazamo tofauti kidogo,usikurupuke kutoa final decision ya kuhama hapo ulipo kisa hamna fursa nyingi,fursa zipo popote ni wewe tu kuchakarika,jitoe ufanye volunteering kwenye kampuni yoyote,prefferably kampuni kubwa,ukiwaomba kupata experience,watakubali haraka,na kama ni wastaarabu,hawatakuacha hivyohivyo,watakupa hata za kujikimu,unapokuwa kazini,hata kama hulipwi,utajuana na watu wengi zaidi na unaweza ukawashawishi wakupe kazi kutokana na utendaji kazi wako.network yako itakuwa na utakuwa na uzoefu zaidi katika kazi,hiyo ni bora kuliko kukaa nyumbani kwani huwezi kuandika kwenye CV ulikaa nyumbani.....jambo lingine,jifunze,jifunze,jifunze....kila unapopata nafasi ya kujifunza kitu kipya wewe jifunze tu.kitakuwa na faida kwako siku moja.nakutakia kila la kheri
Ciello ,mji wa moshi una ajira nyingi sana,sio kama unavyodhani,viwanda vinavyolisha miji ya kaskazini karibia vyote vinapatikana moshi,(vya bia,soda,sukari,kahawa),pia mji ule una wakulima wengi na kivutio cha mlima kilimanjaro,japo hub ya utalii ni arusha,watalii hutembelea moshi na hutumia pesa nyingi pale.Moshi kuna vyuo vikuu vi5,na iko karibu na Kenya,pia kuna international airport Moshi,so usipadharau
kiviile.......@
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.