Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

Pole sana kwa kitaa. Ila ungetumia hiyo 2.5 kg kuinvest hata kwenye mradi wa kuku wa kienyeji ndani ya mwaka sasa ungekuta mtaji umekuwa kwa kiwango kikubwa tu. Achana na ishu ya mlungula na focus kwenye investment zako amini zitakutoa.
 
thankx 4 the courage von bado nina subira najua Mungu wangu c kiziwi ,ila ndo hivyo tunataribu njia ambazo wengine wametokea

kama unaamini mungu anasikia acha mawazo ya kutoa rushwa kupata ajira!
 
mi naona si sahihi kutafuta kazi kwakuhonga, si ajabu hata ukatoa hongo ya ngono ili upate kazi,

kweli kupata kazi ni ngumu sana, ila omba mungu utapata tu, ila ukianza kutafuta kazi kwa kutenda dhambi !!!! unaweza ishia pabaya,

haya ni mawazo yangu tu.
 
Nakushauri rudi shule tena kwa level za juu.





"Ujinga ni kuwatega panya kwa kuwawekea sumu kwenye chakula na kuonja kama imekolea au lah"
 
Duuuh aiseee fanyia biashara unaweza ukanipa uaingia kwenye interview ukakosa utanidai
 
mkuu nicnic mie nimesoma fani tofaut nimegraduate last yr na nko mzigon fan yangu haina competitn kihivyo coz cweng wanasomea, cna connectn na wa2 wa fani yako bt jipe moyo utapata ila ondoka mosh hamna fursa za ajira kihivyo!

sasa si utuambie umesoma fani gani ili utupe michongo na sisi? labda tuna fani kama yako je? kama vipi niPM pls!
 
mkuu @Jeff niPM unambie umesoma fani ipi kwanza!
 
Last edited by a moderator:
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.

i cant believe it has got here!
hii hali sasa inakua tete. rushwa in publish??
ukitafakari sijui ni nani wa kulaumiwa hapa.
 
sasa si utuambie umesoma fani gani ili utupe michongo na sisi? labda tuna fani kama yako je? kama vipi niPM pls!

acheni usanii si keshasema uhasibu tena diploma ya CBE
 
ninunue wap ndugu kama nawe unafanya hii business nipe abc's zake plz

Njoo kitumbini ufunge mzigo kama mtaji mdogo njoo asubuhi ilala na buku kumi upate nguo za kuanzia business, mimi nilianza na buku tano
 
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.

Kafundishe shule Nicnic. Natumaini ualimu bado kuna nafasi. Uwape madogo elimu ya masomo ya biashara.
 
nicnic ,mimi nina mtazamo tofauti kidogo,usikurupuke kutoa final decision ya kuhama hapo ulipo kisa hamna fursa nyingi,fursa zipo popote ni wewe tu kuchakarika,jitoe ufanye volunteering kwenye kampuni yoyote,prefferably kampuni kubwa,ukiwaomba kupata experience,watakubali haraka,na kama ni wastaarabu,hawatakuacha hivyohivyo,watakupa hata za kujikimu,unapokuwa kazini,hata kama hulipwi,utajuana na watu wengi zaidi na unaweza ukawashawishi wakupe kazi kutokana na utendaji kazi wako.network yako itakuwa na utakuwa na uzoefu zaidi katika kazi,hiyo ni bora kuliko kukaa nyumbani kwani huwezi kuandika kwenye CV ulikaa nyumbani.....jambo lingine,jifunze,jifunze,jifunze....kila unapopata nafasi ya kujifunza kitu kipya wewe jifunze tu.kitakuwa na faida kwako siku moja.nakutakia kila la kheri Ciello ,mji wa moshi una ajira nyingi sana,sio kama unavyodhani,viwanda vinavyolisha miji ya kaskazini karibia vyote vinapatikana moshi,(vya bia,soda,sukari,kahawa),pia mji ule una wakulima wengi na kivutio cha mlima kilimanjaro,japo hub ya utalii ni arusha,watalii hutembelea moshi na hutumia pesa nyingi pale.Moshi kuna vyuo vikuu vi5,na iko karibu na Kenya,pia kuna international airport Moshi,so usipadharau kiviile.......@
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.
 
Last edited by a moderator:
ukipata kazi ya kununua na wewe utanunuliwa ukiwa kazini...........ufisadi type..
 
Back
Top Bottom