Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaribu ujasirimali.
nimejaribu kwa uhalali zaid sipati nimeamua kuthink outside the boxndo ulicho fundishwa kutoa rushwa!
Mmmmmh! Hivi kweli wote tukitumia njia hii tutakuwa wajiriwa wenye vigezo stahili?
yaani diploma niongeze dau kwni una mpango wa kuja nilipa ngapi?c o bachelor ni dip jamaniOngeza dau.
licha ya kwamba niko kwenye huo mkumboooo wa kutafuta kazi zaidi ya MWAKA cdhani kama nitafanya ivo,where is your professional ethics as accountant?
duh pole sana!
Hauko peke yako, ila unahitajika Kumwomba sana Mungu kwani kupata kazi ni bahati sana siku hizi
mkuu nicnic mie nimesoma fani tofaut nimegraduate last yr na nko mzigon fan yangu haina competitn kihivyo coz cweng wanasomea, cna connectn na wa2 wa fani yako bt jipe moyo utapata ila ondoka mosh hamna fursa za ajira kihivyo!