Junior D Member Joined Dec 2, 2015 Posts 29 Reaction score 16 Jul 31, 2018 #1 Habari wakuu Mi ni dereva leseni class D hai na vyeti halisi mwenyeji sana wa njia za Dar- Lusaka hasa Lusaka maana nimekaa sana natafuta kazi za kusafirisha IT naombeni msaada kwa mwenye kujua utaratibu wao au wapi pa kuanzia! Asante!
Habari wakuu Mi ni dereva leseni class D hai na vyeti halisi mwenyeji sana wa njia za Dar- Lusaka hasa Lusaka maana nimekaa sana natafuta kazi za kusafirisha IT naombeni msaada kwa mwenye kujua utaratibu wao au wapi pa kuanzia! Asante!