NATAFUTA KAZI YA KUSAFIRISHA IT

NATAFUTA KAZI YA KUSAFIRISHA IT

Junior D

Member
Joined
Dec 2, 2015
Posts
29
Reaction score
16
Habari wakuu
Mi ni dereva leseni class D hai na vyeti halisi mwenyeji sana wa njia za Dar- Lusaka hasa Lusaka maana nimekaa sana natafuta kazi za kusafirisha IT naombeni msaada kwa mwenye kujua utaratibu wao au wapi pa kuanzia!
Asante!
 
Back
Top Bottom