Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

nick4real

Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
10
Reaction score
6
Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer..

Naitwa NICKSON AIVAN,
Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana

Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi yoyote ya graphics ntafurahi kukuhudumia.

Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama ifuatavyo;-
1. Nina Bachelor degree ya Procurement and logistics management (Chuo TIA)
2. Computer Skills (SPSS au IBM (Kiasi), Microsoft Excel, Microsoft Word, Microsoft Access (Simple Database), Microsoft PowerPoint (Presentation), HTML (Simple website na Blogs mfano blog yangu ya Nick 4real Nick 4real) na Hardware maintenance and Troubleshooting.
3. Najua kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza pia najua kuzungumza Kichina "wo hui shuo han yu, danshi shuode bu tai hao" (Najifunza bado naweza kiasi nina mwezi mmoja "yi yue").

Chini naweka moja ya kazi zangu ambazo zpo kwenye mtindo wa Mockup

Kwa mawasiliano nipigie (+255) 0652914141/0745455761

Natanguliza Shukuran zangu za Dhati kwenu wana Jamii Forums.

NICKSON AIVAN PROFILE2.jpg
 
Mkuu uko vizuri sana, naamini utafika mbali. Mimi Nina-save namba yako huko mbeleni Mungu ataweka Mambo sawa.
 
Kwa uwezo ulionao, kuajiriwa ni kwenda kujipunja.

Jifunze namna ya kufanya online business, jifunze marketing skills kisha tengeneza matangazo yako, tumia social media tofautitofauti, ikiwemo na blog yako hiyo kujitangaza, hutopata wateja ukianza tu but kama jitiada zipo na kweli nia unayo itafikia stage unaingiza pesa zaidi ya hiyo unayokimbilia kulipwa kwa mwezi na mwisho wa siku kuweza hata kufungua ofisi yako na kuajiri wengine.

Ndivyo nilivyoanza mpaka leo kuwa na ofisi.

Ni ushauri tu.
 
Unaweza kufanya digital market? Na ikiwepo SEO
 
Back
Top Bottom