Mkuu,kama kilimo na mifugo ndiyo taaluma yako kwa nini usifanye mwenyewe ili kuitendea haki elimu yako? Nikikuambia uje kusafisha banda langu la nguruwe si utaona nimekutukana? Njoo tushirikiane kwenye kilimo na ufugaji,acha hiyo mentality ya kutumikishwa!