Habari za wakati huu ndugu, nipo apa kwaajili ya kuomba kazi yeyote inayohusiana na masuala ya Kilimo na mifugo, napatikana Arusha.niko tayari kufanya ata kwakujitolea ili nisipoteze elimu yangu na career yangu.asanteni nimatumaini yangu nitapata.
Mkuu,kama kilimo na mifugo ndiyo taaluma yako kwa nini usifanye mwenyewe ili kuitendea haki elimu yako? Nikikuambia uje kusafisha banda langu la nguruwe si utaona nimekutukana? Njoo tushirikiane kwenye kilimo na ufugaji,acha hiyo mentality ya kutumikishwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.